Mbosso – Maajab (Official Music Video) Sms SKIZA 8546310 to 811


Nana na naaa Naa nana naaa na Naa nana naa na Naa naa nana Moko mokooo Imara kashikilia, mwache avimbe bichwa Wallahi kanipatia anastahili sifa Chumba kizima chanukia uturi kajifisha Vidole nasimamia, ukingoni nafikishwa Ananikosha mwili kwa maji ya madafu Ye ndo kocha na ananifunza kucheza rafu Anijua tumbo la ng’iri kwa mafuuta ya karafuu Nikichoka ananikanda kwa mabarafu maajab maajab penzi lake la ajabu maajab maajab mahaba yake ya ajabu maajab maajab penzi lake la ajabu maajab maajab mahaba yake ya ajabu Kifuani unipaka harua mikono tende anazichambua Anilambaaa aah Kitandani humwaga maua vingine hata chembe sikuwa najua. hanitoa ushamba aah uuuh Na nitake nini kwake? Niombe nsipewee Iwe pemba ama chako chake, nichague mwenyewe eeh Kanipa pombe roho yake ninywe nilewe eeh Mambo shega ni mwake mwake, mangaka msewe eeh Libanikee penzi kama gazeti walisomee tuwa adabishe sangara shombo vibetwe tuwango’e Ni kila nilishe, chapati za alizeti ni none tuwafungishe midomo uzi cement , tuwashonee Ananikosha mwili kwa maji ya madafu Ye ndo kocha na ananifunza kucheza rafu Anijua tumbo la ngi’ri kwa mafuta ya karaafu Nikichoka ananikanda kwa mabarafu maajab maajab penzi lake la ajabu maajab maajab mahaba yake ya ajabu maajab maajab penzi lake la ajabu maajab maajab mahaba yake ya ajabu haluwa haluwa hunipa vitamu laini lainii.. haluwa haluwa Kinyama cha hamu uhondo utosinii. haluwa haluwa Sili kwa kijicho nalishwa kwa ulimii. haluwa haluwa Napewa hadi vya miko sa nitake nini?